Pichaz za MTV road to Mama Awards 2014 Club Bilicanas Dar es salaam Tanzania @MTVbaseafrica
StreetExtended
01:46
0
Hatimae party la MTV road to Mama Awards 2014 lilidondoshwa Club
Bilicanas Dar es salaam usiku wa May 16 2014 ambapo mstaa kibao
walihusika kuanzia muziki, siasa mpaka movies.
Kwenye stage walimiliki Sauti Soul kutoka Kenya, Mi casa kutoka South
Africa na Diamond Platnumz kutoka bongoflevani ambae alimpandisha
Shetta kama suprise hivi wakamaliza kazi.
Tanzania imekua miongoni mwa nchi tatu ambazo party la Mama Awards
limedondoshwa 2014 ambapo nchi nyingine ni Nigeria na South Africa.
Sauti Soul kwa red carpet |
No comments