StreetExtended
03:36
0
|
Mshindi wa EBSS 2012 Walter Chilambo amenusurika kifo katika ajali ya gari iliyotokea jana usiku na gari yake kuharibika.“Asante Mungu kwa kila jambo nilipata ajali Jana usiku lakini nashukuru
Mungu nipo Salama ila mashine imezingua kidogo daaaa Mungu mkubwa sana
tunatembea na kifo mkononi…tukumbuke kusali”.
|
Tags :
Entertainment
Home
Sports
Share !
Email ThisBlogThis!Share to Facebook
About StreetExtended
Asante kwa kutembelea blog ya News4Time, Kama una maoni yoyote, Ushauri au habari ya ku share nasi... Tumia moja ya mitando wa kijamii hapochini kuungana nasi
No comments